
Kama boda iko kwa jina yako, logbook inaweza kukusort na cash within 2 hours. Hakuna kuuza boda. Hakuna kusimamisha hustle.
Umewahi chukua app loan ya 1,500 halafu interest ikakushika mbaya? Kuna njia better.
Dakika chache tu. Bila commitment.

Hata kama umewahi kuwa turned down na another lender before.
Small loans zinaendelea kukua na kuwa bigger debt, lakini bado hazimalizi ile shida ilikufanya ukope hapo kwanza.
Ama labda biashara yako imepata big order, lakini stock imeisha na hujui utapata wapi pesa.
Trusted by thousands of boda riders across the country.
Regulated by the Central Bank of Kenya.
HOW IT WORKS
Confirm uko na motorcycle na logbook iko kwa jina lako, halafu tutakuonyesha exactly how much unafaa kupata.
Dakika chache tu. Bila commitment.
Dakika chache tu.

Logbook ya bike yako inaweza kufungua hadi KES 90,000 in one loan — pesa ya kutatua real financial need badala ya kuendelea kuchelewesha shida na small app loans
Loan moja kubwa yenye iko na clear repayment terms, badala ya kuchukua small loans mara kwa mara na interest inaendelea kukua kila week.
Logbook yako lazima iwe registered kwa jina lako. Ikiwa hivyo, application yako inaweza kuprocessiwa within two hours — hakuna kusubiri days.
Daily repayment yako tunaagree upfront na inatengenezwa kulingana na uwezo wako wa kulipa, so hakuna surprise increases baadaye.
Chini ya dakika 5 kujaza.
The problem that brought you here haiwezi kusubiri — deni, boda kuharibika, ama home emergency.
Dakika chache tu. Timu itakupigia.
Dakika chache tu. Timu itakupigia.

Listen how motorbike financing helped Japheth launch his boda business.